Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kanyeshewa na mvua huyo mtu, kapptea kama hewa hapa ππππππaisee unamaanisha ameloowa ameloowa??
Me naheshimiana naye sana.
Ana Cleansheet ngapi?Mdaka mishale amegeuka kuwa mdaka hewa...kila mechi lazima achomwe na mshale...
Hapa sijakuelewa au umehamia huku siku hzi?.au unamuuliza uje na kamusi ya vyura π πUmemaliza
Nyinyi mmekunja muamala kwa Raja, Horoya wenzenu wakipewa mnaona wivuWaambie watu mnapumulia mipira labda mpaka muamala
Kimsingi niliumia sana, nilitamani mtoke hata sareπ€£Kama mlivyoumia jana...nkuki kwa nkuki
Atajua mwenyewe ila kila mechi nshaleAna Cleansheet ngapi?
Lol roho mbayaKimsingi niliumia sana, nilitamani mtoke hata sareπ€£
Ametaja majina meeengi nilitaka nimpe yake hadi aombe pooHapa sijakuelewa au umehamia huku siku hzi?.au unamuuliza uje na kamusi ya vyura π π
Malizia Mabingwa wateteziUTO
Kinyesi
Ndala
Chura
Gongowazi
Nyani
Kabwili fc
Kahaba fc
Misukule
Yeboyebo
Nzi fc
Nyoka fc
Wamtopeni fc
Mama j fc
Connection fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Edit pale weka kiulizo mkuu ulinishtua ujueee..nikasema umemspoti hivi hivi...Ametaja majina meeengi nilitaka nimpe yake hadi aombe poo
Wewe utakuwa ni chiz.iAtajua mwenyewe ila kila mechi nshale
Kama ww mwehuWewe utakuwa ni chiz.i
Tusameheane then wote ni wanaume .Hapa nimekuelewa, brother. Nisamehe kama nilikukwaza.
Sure, man.Tusameheane then wote ni wanaume .
Na mm nilipokukosea samahan .
Kuna maisha Zaid ya haya tunayoyaongea hapa.
TayariEdit pale weka kiulizo mkuu ulinishtua ujueee..nikasema umemspoti hivi hivi...
Hapo sawaa..Tayari