minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 182
- 412
Hii Yanga imeshindikana kwa kweli, hivi kwanini Ihefu walituharibia shuhuri lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitakutafutaTunawasubiria J2 mechi ya Monastir
Kabla hujaongea kitu jiridhishe kwanza ,sina ujinga wa kuattack mtu bila sabab za msingi.Hajatukana, ww unaleta uboya wako hapa wa kumtukana mtu kisa mpira
Ukishindwa hoja unakausha Sio kuanza kutukana tukana ovyo
OKW BOBAN SUNZU huko aliko kama kamwagiwa maji, anatia huruma saa hii.Kama huyu @ OKWI BOBAN BIN SUNZU itakua kazima na simu kabisa
Tano?Kama timu yako haijawahi kugongwa mara tatu mfululizo nyosha kidole juu.
aisee unamaanisha ameloowa ameloowa??OKW BOBAN SUNZU huko aliko kama kamwagiwa maji, anatia huruma saa hii.
Umenena kweli mkuu, kama mimi nimeingia JF na mpira unakwisha......Yanga Daima Mbele[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]Majukumu tu yanawabana mkuu, nimegundua Wananchi wengi ni maboss na watu wazito ambao sio muda wote wanakuwa na muda wa kuja jf kuzurula zurula kama ilivyo kwa sisi Wana Simba ambao wengi wetu ni jobless hatuna shughuli maalumu ndio maana unatuona tupo humu masaa 24/7[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi onyango uchunguzi umuhusu.Uchunguzi uanzie kwa beki wa azam, halafu uje kwa mabeki wa Mtibwa Kisha uendelee
Mara Tatu?Tano?
Ulivyoanza kuniita zwazwa ulitegemea nikubembeleze? Let's get on, I have some time to spare.Kabla hujaongea kitu jiridhishe kwanza ,sina ujinga wa kuattack mtu bila sabab za msingi.
Yeye ndie kapanik na kuabuse then nikampay back.
Kolo limeingia cha kiumePamoja sana chama langu Dhahabu kutoka Geita, mnaukuza sana uchumi wa Tanzania nchi yetu ya ahadi.
Piga hao maskini wauza magodoro
Uko na shida kwenye mental Yako sio BureUlikuwa na hoja gani? Na obvious unategemea utoe hoja gani kama jina lenyewe tu unajiita mbwe?
Kusema Geita ya Minziro haiwezi kuifunga Yanga ndo' umekaa ukaona ni hoja ya kujibiwa? Mbona huyo Minziro anashindwa kufurukuta kwa Simba, Simba naye ana mahusiano na Minziro? You spill mashudu unategema upewe hoja? Kwanza hata hoja utaielewa ewe Blockhead?
You sit and think throwing gay's insult at me will do anything? That is too low and old-fashioned, find something new, stressed man.
Hilo liko wazi kama uji wa ngomanii...mijina ya hovyo kupata kutokeaUTO
Kinyesi
Ndala
Chura
Gongowazi
Nyani
Kabwili fc
Kahaba fc
Misukule
Yeboyebo
Nzi fc
Nyoka fc
Wamtopeni fc
Mama j fc
Connection fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Proceed ,I'm readyUlivyoanza kuniita zwazwa ulitegemea nikubembeleze? Let's get on, I have some time to spare.
Hapa nimekuelewa, brother. Nisamehe kama nilikukwaza.Uko na shida kwenye mental Yako sio Bure
Maana ya utan ni Nini?
Mara ngap hapa watu wa yanga wanaisema coastal union kuwa ni tawi la Simba?
Mara ngapi watu wa yanga walikua wakiisema coastal ilipokua chini ya mgunda?
Mbona ni utan WA kawaida tu ,why univamie kama nimekuibia mkeo kisa mambo ya mpira huu huu wa bongo?
Minds are conquered not by arms but by love and magnanimity.
First say to ur self before attack others.
Huu ni mpira tu na utan lazima uwepo .
Huwez endelea na mishe zingine .
Kama mlivyoumia jana...nkuki kwa nkukiWananchi wenzangu tuyaache madunduka yaongee yapunguze hasira. Kimsingi, yameumia sana kuliko hata baba isaya, kata raia majeshi🤣