FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Hajatukana, ww unaleta uboya wako hapa wa kumtukana mtu kisa mpira
Ukishindwa hoja unakausha Sio kuanza kutukana tukana ovyo
Kabla hujaongea kitu jiridhishe kwanza ,sina ujinga wa kuattack mtu bila sabab za msingi.
Yeye ndie kapanik na kuabuse then nikampay back.
 
Majukumu tu yanawabana mkuu, nimegundua Wananchi wengi ni maboss na watu wazito ambao sio muda wote wanakuwa na muda wa kuja jf kuzurula zurula kama ilivyo kwa sisi Wana Simba ambao wengi wetu ni jobless hatuna shughuli maalumu ndio maana unatuona tupo humu masaa 24/7[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenena kweli mkuu, kama mimi nimeingia JF na mpira unakwisha......Yanga Daima Mbele[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
 
Kabla hujaongea kitu jiridhishe kwanza ,sina ujinga wa kuattack mtu bila sabab za msingi.
Yeye ndie kapanik na kuabuse then nikampay back.
Ulivyoanza kuniita zwazwa ulitegemea nikubembeleze? Let's get on, I have some time to spare.
 
Ulikuwa na hoja gani? Na obvious unategemea utoe hoja gani kama jina lenyewe tu unajiita mbwe?

Kusema Geita ya Minziro haiwezi kuifunga Yanga ndo' umekaa ukaona ni hoja ya kujibiwa? Mbona huyo Minziro anashindwa kufurukuta kwa Simba, Simba naye ana mahusiano na Minziro? You spill mashudu unategema upewe hoja? Kwanza hata hoja utaielewa ewe Blockhead?

You sit and think throwing gay's insult at me will do anything? That is too low and old-fashioned, find something new, stressed man.
Uko na shida kwenye mental Yako sio Bure
Maana ya utan ni Nini?
Mara ngap hapa watu wa yanga wanaisema coastal union kuwa ni tawi la Simba?
Mara ngapi watu wa yanga walikua wakiisema coastal ilipokua chini ya mgunda?
Mbona ni utan WA kawaida tu ,why univamie kama nimekuibia mkeo kisa mambo ya mpira huu huu wa bongo?
Minds are conquered not by arms but by love and magnanimity.
First say to ur self before attack others.
Huu ni mpira tu na utan lazima uwepo .
Huwez endelea na mishe zingine .
 
UTO
Kinyesi
Ndala
Chura
Gongowazi
Nyani
Kabwili fc
Kahaba fc
Misukule
Yeboyebo
Nzi fc
Nyoka fc
Wamtopeni fc
Mama j fc
Connection fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hilo liko wazi kama uji wa ngomanii...mijina ya hovyo kupata kutokea
 
Uko na shida kwenye mental Yako sio Bure
Maana ya utan ni Nini?
Mara ngap hapa watu wa yanga wanaisema coastal union kuwa ni tawi la Simba?
Mara ngapi watu wa yanga walikua wakiisema coastal ilipokua chini ya mgunda?
Mbona ni utan WA kawaida tu ,why univamie kama nimekuibia mkeo kisa mambo ya mpira huu huu wa bongo?
Minds are conquered not by arms but by love and magnanimity.
First say to ur self before attack others.
Huu ni mpira tu na utan lazima uwepo .
Huwez endelea na mishe zingine .
Hapa nimekuelewa, brother. Nisamehe kama nilikukwaza.
 
Back
Top Bottom