Kumbe uliniita best...OKW BOBAN SUNZU Kalpana Ghazwat Bill Scars Kambi ya Fisi Mtoto halali na hela Greatest Of All Time mje mbebe rafiki zenu, hawana hata nauli ya kurudi kwao. Mbona mmewakimbia tena???
Siku mtakayokutana na Yanga mtajua hamjui nyinyi subirini .Yanga 3 Geita 1 [emoji12][emoji12]Yanga km Yanga leo anapigwa paka analia nyau Nangu Nyau atatema dhahabu
Watamleta Raja na Macasblanca yake 😆 😆 😆
Unataka tuweke matokeo ya Raja pia pale Kwa Ben?
Umejuaje,bora umesema mapema siwezi maana tayari nilikuwa na gugu (Makala voice) hapa 😀😀😀Watamleta Raja na Macasblanca yake 😆 😆 😆
Na sisi tutawakumbusha yale yenu 6 kwa sufuri uzuri Raja alishawafumua na nyieUnataka tuweke matokeo ya Raja pia pale Kwa Ben?
Tulindiane heshima basi 😀😀Na sisi tutawakumbusha yale yenu 6 kwa sufuri uzuri Raja alishawafumua na nyie
Hapo sawa mtani..tuwaache tuu hao waarabu watovu wa nidhamuTulindiane heshima basi 😀😀
Upo we kaka wa thimbaaKumbe uliniita best...
Kina nani hao wasiondoke wabaki humuhumu tuchat kidogo na wananchi...
Kwani mbona ww ulipotea dada wa yanga mwenye matshtiti yake...Upo we kaka wa thimbaa
Hahahahaha... Unaipenda sana Yanga kimoyo moyo sema tu unaona aibu kutangaza hadharaniKwani mbona ww ulipotea dada wa yanga mwenye matshtiti yake...
Nitajiunga soon...mkichukua kombe la shirikisho...Hahahahaha... Unaipenda sana Yanga kimoyo moyo sema tu unaona aibu kutangaza hadharani
Mwaka huu hatuachi kitu, tulianza na ngao ya jamii Mayele akawaweka mbili, Nbc hiyoo tayari, shirikisho ndio linalofata baadae tunaenda kuchukua kombe la Dunia[emoji23][emoji23][emoji23] Mbape na mess wajiandaeNitajiunga soon...mkichukua kombe la shirikisho...
Kwanini asiwe mgunda?? Mi maoni yangu kwa wachezaji wa taifa stars hawa kina Boco, Mzamiru, Manula, kapombe, mkude shabalala na Kibu D timu tukimpa mgunda lazima ifanye vizuriKwanini Nabi asiwe kocha wa timu ya taifa kabisa?
Pole mkuuSimba tumekuwa mipang'ang'a sana kila tukitamani yanga ifungwe tunazidi kupata maumivu makali. Huu mwaka tukubali sio wetu
Naiscreenshot hii replyNitajiunga soon...mkichukua kombe la shirikisho...