Kocha mwenyewe anajua nani ampange kutokana na ufanisi wao mazoezini.
Musonda mtoe hapo jamaaUna Musonda,Mzize, Mayele kudadadekii
Ni De Bruyne mtupu.Azizi Ki anapiga pasi kama De Bruyne..
Unajiaibisha.Penat za mchongo
SawaUnajiaibisha.
Penati zote mbili hazistahili. Maana possession ilishapotea.Penat za mchongo
Musonda kwangu yupo vizuri.Musonda mtoe hapo jamaa
Serious... Alaf huyu Bibi aliyechezesha hii mechi simwelew anafunika funika tu Derby anawez chezesha huyu au ndio penat 100Penati zote mbili hazistahili. Maana possession ilishapotea.
Ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na MusondaJamani naambiwa hapa Musonda amepata nafasi tatu za wazi lakini amekosa magoli
Mleta mada alifanya siri
Unamsitiri?