FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Goooal Aziz master [emoji360] amefunga penati kwa penati ya kifundi
 
Azizi Ki De Bruyne kafunga sasa 3-1

Note: Jamaa kadhamiria kumuita kipa mpaka penati anapiga shuti kali.
 
AZIZ KEY NI MWAMBA. penati kama hizi tunazionaga EPL,BUNDESLIGA,LALIGA,MJ.MANAMJTPMAMAPJMWUJM
 
Back
Top Bottom