John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
🤣🤣🤣Azizi Ki ni mwamba bonge shuti kama alilopigiwa Manula kipa kaona isiwe shida mimi nina familia inanitegemea akautema Mzize kaweka kambani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Azizi Ki ni mwamba bonge shuti kama alilopigiwa Manula kipa kaona isiwe shida mimi nina familia inanitegemea akautema Mzize kaweka kambani.
Taarifa lazima itolewe hata kama ni ya motoKinyoonge au sio?
Aah acha zako, toka uzi unawekwa nipo... mimi siyo kama yule mwenye Avatar ya Mo hujitokeza baada ya kushinda....Kumbe nawe upo?
Yule bado anaugulia maumivu ya Raja CasablancaAah acha zako, toka uzi unawekwa nipo... mimi siyo kama yule mwenye Avatar ya Mo hujitokeza baada ya kushinda....
Nilishasema kipa wameshamchosha. Sasa hivi hata utimamu wake umepotea.Azizi Ki ni mwamba bonge shuti kama alilopigiwa Manula kipa kaona isiwe shida mimi nina familia inanitegemea akautema Mzize kaweka kambani.
Aione mwenyewe OKW BOBAN SUNZU 😂😂😂😂😂😂Yule bado anaugulia maumivu ya Raja Casablanca
Mi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibuTulienda wapi mkuu 😀
Mbona hawamchezeshi?Natamani Doumbia apate hata dakika chache naye acheze.
Ila golikipa wa prison amecheza vizuri sana, nadhani ndiyo mchezaji mwenye kiwango Bora paka muda huuNilishasema kipa wameshamchosha. Sasa hivi hata utimamu wake umepotea.
We naye kumbe Uto?Hatumtaki Fei sisi
Ni kweli. Yuko vizuri.Ila golikipa wa prison amecheza vizuri sana, nadhani ndiyo mchezaji mwenye kiwango Bora paka muda huu
Nguvu ya Wananchi 💚💛💪💪💪💪Mi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu
Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea
Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Hii ndio maana halisi ya Kocha kupewa majukumu kamili na matumizi yote ya kitimu kwa wachezaji ,ingekuwa zama za kumpangia kocha asingekuwa anachoma mahindi .Mbona hawamchezeshi?