FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Azizi Ki ni mwamba bonge shuti kama alilopigiwa Manula kipa kaona isiwe shida mimi nina familia inanitegemea akautema Mzize kaweka kambani.
 
Hili litakuwa goli la 5 la Clement Mzize kwenye mashindano haya ya Azam Federation
 
Back
Top Bottom