Nasikia mpira unaelezea Kigamboni kambini.Mzinze penati imeenda Mbagala
Kachezeshe wewe.Penati zote mbili hazistahili. Maana possession ilishapotea.
Rage apewe PhD ya heshima ,hakuna sheria hiyo mazambi ndani ya boksi ni penati hilo swala unaloleta ni jipya katika soka.Penati zote mbili hazistahili. Maana possession ilishapotea.
[emoji28][emoji28][emoji28]Unaambiwa watanzania wote huwa tunazaliwa tukiwa uto, sema tu ubishi ndio wengine wanajikuta wameangukia mikiani
Waliporudisha Prison ulipotea MkuuAah acha zako, toka uzi unawekwa nipo... mimi siyo kama yule mwenye Avatar ya Mo hujitokeza baada ya kushinda....
Mwaka huu mtaugua magojwa yasiyo na tibaPenati zote mbili hazistahili. Maana possession ilishapotea.
Nilijua ni wachezaji tu kumbe hadi mashabiki na nyinyi mna mikimbioNguvu ya Wananchi 💚💛💪💪💪💪
Unamaanisha watanzania wote huzaliwa wakiwa wajinga?Unaambiwa watanzania wote huwa tunazaliwa tukiwa uto, sema tu ubishi ndio wengine wanajikuta wameangukia mikiani
Kuna furaha fulani unapata unaposhinda kwa haki bin haki na siyo kwa njia za janja janja. Huo ndiyo mtazamo wangu wa maisha.
Sawa Usain BoltHapana mi siwezi kukimbia kwasababu ya matokeo
Naomba nikumbushwe muasisi wa kauli ya "mbumbumbu FC"Unamaanisha watanzania wote huzaliwa wakiwa wajinga?
Usain Bolt ndio unarudi?Ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
SawaaRage apewe PhD ya heshima ,hakuna sheria hiyo mazambi ndani ya boksi ni penati hilo swala unaloleta ni jipya katika soka.
Mbumbumbu ana upungufu wa maarifa na anaweza akawa upgraded akifundishwaNaomba nikumbushwe muasisi wa kauli ya "mbumbumbu FC"
Nipo nasubiri nimekaa paleee
Si nyie ndio huwa waanziaha uziUzi unaanzishwa dakika 20 baada ya mchezo
Sa si mtachekwaHalafu hata haturingi
Nyie ni Runners, hamjawahi onekana kwenye uzi kipindi timu yako ina safaSi nyie ndio huwa waanziaha uzi