FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Kisinda leo hakupewa nafasi kabisa au Nabi aliamua kumpumzisha kuhofia majeraha kwasababu ni star wa kikosi cha kwanza tegemeo kwenye mechi muhimu?
Kisinda sio mchezaji tegemezi kikosini naona bado hawaja kwenye fomu yake ninayoijua tokea alivyorudi hana makali kama kipindi kile alichoondoka afadhali Chama ameweza kubalance alivyorudi hakuna mpishano mkubwa wa kiufanisi na kipindi alichoondoka ,mimi Kisinda namuona yupo kwenye harakati za kurejesha makali yake maendeo mazuri nado nampa muda.
 
Toka amekacha kuja kucheza, hatujapungukiwa na kitu. So akiwepo, asiwepo yote ni sawa.
Pia hii ilikuwa ni mechi ya Yanga na Prisons...
Haikuwa Yanga dhidi ya Feisal wala Madunduka FC 😄😄😄😄😄😄
Sasa mbona baada ya mechi ulimtaja Feisal?
 
Kisinda sio mchezaji tegemezi kikosini naona bado hawaja kwenye fomu yake ninayoijua tokea alivyorudi hana makali kama kipindi kile alichoondoka afadhali Chama ameweza kubalance alivyorudi hakuna mpishano mkubwa wa kiufanisi na kipindi alichoondoka ,mimi Kisinda namuona yupo kwenye harakati za kurejesha makali yake maendeo mazuri nado nampa muda.
So unashauri azidi kupewq muda?
 
Aden Rage yukwapi ajengewe sanamu lake pale KARIAKOO?[emoji28]
Yanga wabishi sana nyie na mnapenda ushindani wa kijinga. Mmeenda mapumziko mkasema sasa tusipofunga 4 kama mnyama si tutadharaulika?

Yanga naijua kuliko unavyodhani.
 
Mi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu

Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea

Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Pili pili usiyoila inakuwashia nini we Makolokolo?
 
Back
Top Bottom