adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kisinda sio mchezaji tegemezi kikosini naona bado hawaja kwenye fomu yake ninayoijua tokea alivyorudi hana makali kama kipindi kile alichoondoka afadhali Chama ameweza kubalance alivyorudi hakuna mpishano mkubwa wa kiufanisi na kipindi alichoondoka ,mimi Kisinda namuona yupo kwenye harakati za kurejesha makali yake maendeo mazuri nado nampa muda.Kisinda leo hakupewa nafasi kabisa au Nabi aliamua kumpumzisha kuhofia majeraha kwasababu ni star wa kikosi cha kwanza tegemeo kwenye mechi muhimu?