Nipewe jibu sio maelezo au na wewe ni mbumbumbu FC aka dunduka?Mbumbumbu ana upungufu wa maarifa na anaweza akawa upgraded akifundishwa
Ila asiye na akili hafundishiki
Hata ukipewa jibu sasa kama hauna akili utajuaje kama umejibiwa?Nipewe jibu sio maelezo au na wewe ni mbumbumbu FC aka dunduka?
Ukienda uzi wa Kibu Vs Mayele comment yake inachekesha sana "Eti hata Onyango akizaza ata mzidi Mayele kwa magoli" 😆😆😆Ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kibu yupo kwenye mpito tu na saivi ameanza ku recovery....soon mtaanza kuuona ule uzi ni sumu kwenu shauri lenuUkienda uzi wa Kibu Vs Mayele comment yake inachekesha sana "Eti hata Onyango akizaza ata mzidi Mayele kwa magoli" 😆😆😆
[emoji28][emoji28][emoji28]Hata ukipewa jibu sasa kama hauna akili utajuaje kama umejibiwa?
Ili uelewe unatakiwa utume picha yako tuthibitishe kama ni Kikwete au Sunday Manara
Manara na Kikwete tunajua hawatumii JF[emoji28][emoji28][emoji28]
Dunduka vipi wewe picha huoni au?
Ushindi wa mchongo huu. Napanga kuacha kuangalia game zenu aisee labda za kimataifa maana huko ujinga mnaofanya huku hamuwezi kuufanya kule.
Game za Yanga nyingi nikiangalia macho yanaumaUshindi wa mchongo huu. Napanga kuacha kuangalia game zenu aisee labda za kimataifa maana huko ujinga mnaofanya huku hamuwezi kuufanya kule.
Ni upuuzi mtupu.Game za Yanga nyingi nikiangalia macho yanauma
Mayele game kama 8 zilizopita ana goli 1. Ndiyo maana kuna wakati anaamua kuwa mchoyo.Afu naskia Mayele leo yeye na Kipa lakini kakosa
Taratibu tutaanza kusomana tu
Hakuna forward yeyote duniani ambaye haimtokei hiyo .Afu naskia Mayele leo yeye na Kipa lakini kakosa
Taratibu tutaanza kusomana tu
Inabidi uachane nazo la sivyo utajapofuka machoGame za Yanga nyingi nikiangalia macho yanauma
Haya mkuu.Mzize tumekubalia ni Haland kasoro nywele tu na hilo linafahamika au Haland mwenyewe ila kavaa kinyago
Pamoja na kulijua hilo lakini bado mkaendelea kumhadaa KibuHakuna forward yeyote duniani ambaye haimtokei hiyo .
Mmoja ana kansa ya mdomo.Lakini wote kutoka Buzaaa
Sukari amekuwa fei too.Huyo ni chawa wa Mudi. Maana mpaka kufikia kuweka avatar yake, unaona kabisa bila ya Mudi, angekuwa muda huu yuko huko nyumbani kwao Iramba akila ugali kwa sukari.