Penati 2Sasa Madunduka FC mrudi kwenye case ya Fei toto, kumtetea na kumjaza ujinga. Yanga bila Feisal inawezekana
4 - 1
Pamoja na yote ila Mayele hata asipofunga uwepo wake uwanjani na Kazi yake inakuwa muhimu sana kwao timu .Mayele game kama 8 zilizopita ana goli 1. Ndiyo maana kuna wakati anaamua kuwa mchoyo.
Kwahiyo nyinyi mnavyochezaga pungufu na timu pinzani, mnapopata penalt huwa linakuwa pengo la nani?Penati 2
Kadi nyekundu 1
Tayari mshaanza kuona pengo la Feisal halipo
Hatujawahi kuvimba kumtambia mtu, kwasababu tunafahamu wapinzani walikuwa outnumberedKwahiyo nyinyi mnavyochezaga pungufu na timu pinzani, mnapopata penalt huwa linakuwa pengo la nani?
Baada ya mchezo kuanza au baada ya mchezo kuisha?Uzi unaanzishwa dakika 20 baada ya mchezo
Kisinda leo hakupewa nafasi kabisa au Nabi aliamua kumpumzisha kuhofia majeraha kwasababu ni star wa kikosi cha kwanza tegemeo kwenye mechi muhimu?Pamoja na yote ila Mayele hata asipofunga uwepo wake uwanjani na Kazi yake inakuwa muhimu sana kwao timu .
Hivi wewe jamaa, shenzi kabisa π€£π€£Unaambiwa watanzania wote huwa tunazaliwa tukiwa uto, sema tu ubishi ndio wengine wanajikuta wameangukia mikiani
Kawaida yake huyo mwamba! Timu zote za Tanzania zimepigwa matobo na Aziz Ki!Aziz K amempiga mtu ile kitu (tobo)
Ina maana hukumwona? Simba huwa matiratira!Kisinda leo hakupewa nafasi kabisa au Nabi aliamua kumpumzisha kuhofia majeraha kwasababu ni star wa kikosi cha kwanza tegemeo kwenye mechi muhimu?
Uto mnapenda kupagawishwa na vitu vidogo afu vya kishambaKawaida yake huyo mwamba! Timu zote za Tanzania zimepigwa matobo na Aziz Ki!
Ushindi ni ushindi, kama nyinyi na timu yenu ya mabua, hamuiamini. Msitake wote tusiamini timu zetu.Hatujawahi kuvimba kumtambia mtu, kwasababu tunafahamu wapinzani walikuwa outnumbered
Lakini nyie pushups mbili tu tayari mshaanza kutembea vifua wazi mitaani na kupush wazee njiani kuwalazimisha wakuite Mike Tyson
Mimi sijaangalia mechi mzeeIna maana hukumwona? Simba huwa matiratira!
Aaaah! Sasa mbona ume-comment kama ulikuwa na uhakika kwamba hajacheza?Mimi sijaangalia mechi mzee
Mechi ya leo japo sijaangalia ila haikuwa na intensity kubwa, hamkukutana na aina ya mpinzani ambaye mnapishanaUshindi ni ushindi, kama nyinyi na timu yenu ya mabua, hamuiamini. Msitake wote tusiamini timu zetu.
Sisi tunaiamini Yanga na inatupa matokeo, yale tunataka kuyaona.
Hatuoni pengo wala mwanya wa Feisal.
Sio Ruvu ni hawa hawa Prisons.Kenge wa kijani wewe, inamaana pia Marefa walifurahi walipotoa kadi mechi zenu Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Kolowizards/Zuwena/Kinyume nyume FC dhidi ya Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting kwenye NBC PL hadi mkashinda 5-0, 7-1 na kujidanganya mna strikers wakali sana kumbe ni PUMBA [emoji848][emoji4]
Nime comment kwa kuulizaAaaah! Sasa mbona ume-comment kama ulikuwa na uhakika kwamba hajacheza?
Hakuna forward anayekosa magoli ila inaangalia mfano ikawa nafasi 5 ukashinda 3 na kukosa mbili za wazi hakuna lawama hata ikawa 4 akafunga mbili hakuna lawama .Pamoja na kulijua hilo lakini bado mkaendelea kumhadaa Kibu
Nani anaongoza kwa ufungaji?Mayele game kama 8 zilizopita ana goli 1. Ndiyo maana kuna wakati anaamua kuwa mchoyo.
Toka amekacha kuja kucheza, hatujapungukiwa na kitu. So akiwepo, asiwepo yote ni sawa.Mechi ya leo japo sijaangalia ila haikuwa na intensity kubwa, hamkukutana na aina ya mpinzani ambaye mnapishana
Sasa kwa situation hiyo ni matusi kusema No Feisal kwasababu mechi hii mmeshinda
Daah cheki hli contents mazee!Hakuna forward anayekosa magoli ila inaangalia mfano ikawa nafasi 5 ukashinda 3 na kukosa mbili za wazi hakuna lawama hata ikawa 4 akafunga mbili hakuna lawama .
Man U kuna Weghorst forward hafungi
anakosa magoli ya wazi ila kocha anampanga kila mechi kutokana na mchango wake mkubwa kwa timu tofauti na kufunga na hilo kila mtu na wachambuzi wanakubali jamaa ni mtu Kazi .Ni Sawa na Mayele hata asipofunga anasaidia kubuild mashambulizi ,kuwapa presha mabeki na kutengeneza nafasi kwa wengine tofauti na Kibu anaasilimia ndogo sana kukupa vitu hivyo .
Hata mashabiki wa Simba vinanda umiza ilikuwa akianza Kibu au akiwa anaingia kutokea benchi wanaoanza kulaumu na kutukana coz wanajua hana mchango mkubwa na ataikosesha magoli mengi halafu Mayele ninachomkubali anakugunga hata sehemu ngumu kabisa huku amezungukwa na mabeki tofauti na Kibu hana maaamuzi ya haraka ,speed hata kuwahaadaa mabeki apate nafasi ya kufunga kama akizungukwa hawezi.