FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Unaweza kusema wanacheza pipa na mfuniko
 
Leo Prisons hawajahidiwa chochote na yule mfadhili koko ?
 
Wengine ni pressure ya mchezo
Wanajipa pressure ya bure tu, nimemsikia mchezaji wa Tanzania Prisons akisema hii game kwao si muhimu sana, kwasababu wao macho yote yapo Ligi Kuu Tanzania Bara kulingana na nafasi walipo.
 
Yanga leo wamemalizana mapeema na forward kama wawili wa Prisons. Hakuna goli pale watafunga, labda aje kufunga beki au kipa wao.
 
Yanga leo wamemalizana mapeema na forward kama wawili wa Prisons. Hakuna goli pale watafunga, labda aje kufunga beki au kipa wao.
Pia prison watakuwa wamemalizana na washambuliaji wa Yanga maana paka Sasa goli kama 3 za wazi wamekosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…