Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mashabiki wengi wa Uto ni cowards, tangu wafungwe na Ihefu wamekosa kabisa kuniaminiWanajipa pressure ya bure tu, nimemsikia mchezaji wa Tanzania Prisons akisema hii game wao si muhimu sana, kwasababu wao macho yote yapo Ligi Kuu Tanzania Bara kulingana na nafasi walipo.
Hata timu ndogo wanazihofia, hapa wakitangulia bao moja ndio utaona wanavyojaa