FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Wanajipa pressure ya bure tu, nimemsikia mchezaji wa Tanzania Prisons akisema hii game wao si muhimu sana, kwasababu wao macho yote yapo Ligi Kuu Tanzania Bara kulingana na nafasi walipo.
Mashabiki wengi wa Uto ni cowards, tangu wafungwe na Ihefu wamekosa kabisa kuniamini

Hata timu ndogo wanazihofia, hapa wakitangulia bao moja ndio utaona wanavyojaa
 
Hao forward wa Tanzania Prison wakitoka uwanjani askari wenzao wamalize nao kabla ya Takukuru. Hawakimbii wala hawakabi. Wanaancha mabeki wa utopolo wacheze free, mbaya zaidi wakipata chance za kushuti, hawashuti.
 
Wapeni kyombo
 
Wakipata nafasi ni minazi tu. Hakuna forward pale leo.
 
Hao forward wa Tanzania Prison wakitoka uwanjani askari wenzao wamalize nao kabla ya Takukuru. Hawakimbii wala hawakabi. Wanaancha mabeki wa utopolo wacheze free, mbaya zaidi wakipata chance za kushuti, hawashuti.
Ndugu wawili wakicheza, hiyo ni kawaida sana kuiona
 
Refa amefurahiii kutoa kadi nyekundu, sijui ina bonus?
 
Kuna beki ingawa rafu ya pili sijaiona vizuri. Ya kwanza haikustahili kadi.
 
Sjaona sababu ya refa kutoa kadi nyekundu pale, ile ilikuwa faulu ya kawaida! Ndo maana marefa wetu wataendelea kuchezesha mchangani milele!
 
Kiuhaliaia Yanga wapo nyuma sana kuisapoti timu yao mitandaoni
IMG-20230303-WA0014.jpg

Unaiona Simba hapo?
 
Back
Top Bottom