FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Jamani naambiwa hapa Musonda amepata nafasi tatu za wazi lakini amekosa magoli

Mleta mada alifanya siri

Unamsitiri?
 
Huyu Musondo afya yenyewe mgogoro halafu anajaribu kufunga magoli ya Sacko. Tutamsafirisha kwao kwenye sanduku, we muache.
Sakho butu ambaye hufunga goli 1 baada ya mechi 6, hafai hata kuchezea timu za michangani [emoji3]
 
We chizi Moroco toka lini ikacheza kombe la Azam! Mi ni refa by professional! Ile haikustahili kuwa kadi ukizingatia mchezaji tayari alikuwa na kadi ya kwanza! Kwa kuwa haikuwa faulu ya kuhatarisha ilibidi mwalimu atoe faulu ya kawaida. Kenge wewe
Hapo umezungumzia busara ya kiuamuzi, japo sheria haisemi hivyo na siyo lazima refarii atumie busara wakati akitekeleza maamuzi yake uwanjani. Wewe ni shabiki wa mbumbumbu uliyejificha kwenye kivuli cha refarii
 
Kushikilia bomba hapa na Moro?

Unawasiwasi wakawa kama nyinyi kule Mali wakashindwa kuwan mikazo?
Nikwasababu tu washambuliaji wa Yanga hawakuwa makini ila mechi ilitakiwa kuusha first half
 
Pamoja na kukosa umakini kwa Msonda lakini huyu kipa wa prisons ni man of the match
Maskia nafasi zilikuwa 3 alizokutananazo Musonda

Tuwe na subra tumjaji uwezo wake kwa nafasi 10 atazopata
 
Umewahi kucheza hata mpira wa makaratasi? Ile ni second yellow card baada ya kadi ya njano aliyompiga teke la kiuno Moroco,kama huko kwenu faulo ya Kisinda siyo yellow card basi mpo old stone age
Kuelimisha Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume FC ni mpaka ujitoe ufahamu Chifu [emoji23]
 
Hapo umezungumzia busara ya kiuamuzi, japo sheria haisemi hivyo na siyo lazima refarii atumie busara wakati akitekeleza maamuzi yake uwanjani. Wewe ni shabiki wa mbumbumbu uliyejificha kwenye kivuli cha refarii
We bwege ni wapi nimetaja neno busara! Pichu wewe
 
Jamani naambiwa hapa Musonda amepata nafasi tatu za wazi lakini amekosa magoli

Mleta mada alifanya siri

Unamsitiri?
Post no 11 mbona nimeelezea. Musonda ni Yikpe aliyechangamka[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom