Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Maumivu yakizidi muone daktari. Point 3 muhimuUtopolo yangu tia maji tia maji kutoka kusheherekea ushindi wa khamsa kama tuliofungwa na mnyama simba sasa tunafurahia kagoli kamoja
Upumue taratibuSasa naweza hata kupumua.....[emoji120]
Sisi ndo Yangaaaaaaaaaa[emoji169][emoji172]
Ulirisk mkuuOver 1.5 watu tupate ugali aisee yanga mnafeli sana
🤣🤣🤣🤣🤣Ongea tena au domo lina ujauzito
ni grafu kuanza kupanda tena5
5
2
1
Kinachofuatia mnajua wenyewe.
unatesek ukiwa wap5
5
2
1
Kinachofuatia mnajua wenyewe.
Timu iliyo kwenye majonzi ya msiba imewasumbua kiasai hicho!! Subirini unyama mwingi!!hao ndo yanga
Tulia hapo hapo.Upuuzi kama upuuzi mwingine
Mtoto analala na mavi, huyo mtoto ni mikiaKwa mbinde shenzi zenu uto
Sahivi unasonya Tu kama zee lenye busha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]Hakuna kituuuuu...
No Mzize No Musonda.
No straiker, No Goal
kwamba zile pasi 56 hadi linapigwa goli ujaziona mkuuImebidi mtumie "IMETHIBITISHWA"!! hapo hakuna cha kujisifu!
Ila si imeingia?Kwa mbinde shenzi zenu uto