uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
🤣🤣🤣Boko amesawazisha saivi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Boko amesawazisha saivi mkuu
Jitahidi sasa hiyo kesho uwe busy na mambo mengine. Usisikilize kabisa hicho kipindi cha michezo, ili uendelee kuongeza siku zako za kuishi.Kesho kwenye vipindi vya michezo utawasikia yanga hii imekamilika kila idara [emoji23][emoji23]
Yanga inakuzwa kuliko uhalisiaHa ha ha yaani leo kilianza kikosi chenyewe lakini kimeshindwa kufurukuta
Kaibetie SimbaYaani Kwa Mara Ya Kwanza Nime ibetia yanga Na Inachana Mkeka hapa over 2.5 hamna
Hamtaamini muujizaKesho mnyama anakwea kileleni anampiga coastal 6 bila.
Nashukuru umeelewa pia kama mnakuzwa penye hamnaJitahidi sasa hiyo kesho uwe busy na mambo mengine. Usisikilize kabisa hicho kipindi cha michezo, ili uendelee kuongeza siku zako za kuishi.
Nawasifu sana Namungo wameweza sana kumantain.Namungo Fc, na mechi zijazo mcheze hivi hivi. Siyo mnazikamia Yanga na simba tu. Mara nyingi mkicheza na watu wa level zenu, huwa hamchezi kabisa mpira mkubwa kama mlioupiga leo.
Kilele gani??, We subiri mtiwe na coastal then wazambia..Kesho mnyama anakwea kileleni anampiga coastal 6 bila.
Ingekuwa ndo simba yangesemwa kila aina ya maneno ila kesho utasikia wanavyo sifiwa sasaHii sasa ndo Yanga halisi..ngoja tuendelee kujionea...
Tukaribishane mtani kesho kuangalia pira papatu papatu.Hii sasa ndo Yanga halisi..ngoja tuendelee kujionea...
Pigeni picha msimamo . Kesho coastal anapigwa kipigo cha Horoya.Kilele gani??, We subiri mtiwe na coastal then wazambia..
Kwa Yanga hii ukipata sare ni ushindi tosha. Naona Namungo kwao sare inawatosha. Maana wanajitahidi kweli kupoteza muda ili muda uis
NaaaamInaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!
Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside
Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...