FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Yanga haikuwa na ubora wowote, kikubwa walikuwa na hali ya ushindi pamoja na morali ya upambanaji ndo vilivyokuwa vinawabeba,
Sasa taratibu pumba zinatengana na mchele.
Yaani walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mamaeee
 
Mkuu hilo mbona tuliliona kitambo sana ila bahasha nazo hazikuwa nyuma
 
Bila kubebwa,na propoganda hawans timu hawa mwiko nyuma. Huu ni mwanzo tu pamoja na kigoli cha offside.
 
Bila kubebwa,na propoganda hawans timu hawa mwiko nyuma. Huu ni mwanzo tu pamoja na kigoli cha offside.
Hawana timu wala wachezaji wazuri ila ndo hivyo tu propaganda zina wabeba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Namungo Fc, na mechi zijazo mcheze hivi hivi. Siyo mnazikamia Yanga na simba tu. Mara nyingi mkicheza na watu wa level zenu, huwa hamchezi kabisa mpira mkubwa kama mlioupiga leo.
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.

Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.

Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
 
Alafu kuna mtu ata kuambia lobatinyo sio kocha
 
Mtabebwabebwa Wee...na Kusifiwa na Wachambuzi Uchwara Lkn mtakapoanza kukutana na Timu Kweli itakuwa Kilio
 
Inaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!

Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside

Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...
Ndugu, offside iko wapi pale!! Hivi ulishawahi kucheza mpira kweli? Leo Namungo wamecheza vizuri.

Goli limetokana na ukubwa wa Yanga. Dakika za lala salama umakini ulikosekana, wakaadhibiwa.
 
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.

Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.

Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Tunahitaji mshambuliaji wa kueleweka, kwingine siyo mbaya sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom