Na bado hamjashikwaNamungo wanetushika
Umeanza hahaPira mtelezo...
Hachoki mtu.Yanga wanacheza mpira mzuri so far ila Namungo nao wamejitahidi kutulia. Namungo Wasipochoka wanaweza zuia ila wakichoka watafungwa.
Ngoja tuone bossHachoki mtu.
Yanga mbinu zao chache sana
Ndio tunaonaNgoja tuone boss
Kikubwa lazima tushindeSifa zimewalevya.....niliwaambia mechi ile ya mwisho kufunga 5.... labda mpewe za bure