FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Pira mkamio..Yanga wamekamia kisa walilewa sifa..watulizane...leo ni droo tu
 
Yanga wanacheza mpira mzuri so far ila Namungo nao wamejitahidi kutulia. Namungo Wasipochoka wanaweza zuia ila wakichoka watafungwa.
 
Kama ilivyo Half Time.
Ndio inavyoweza kuwa Full Time.
Kama Namungo hawatapata goal.
 
Back
Top Bottom