Namungo usiwaamini, wakichoka wanaweza achia ushangae.Sifa zimewalevya.....niliwaambia mechi ile ya mwisho kufunga 5.... labda mpewe za bure
Leo watazichoraaaaSifa zimewalevya.....niliwaambia mechi ile ya mwisho kufunga 5.... labda mpewe za bure
Sawa...Kikubwa lazima tushinde
Umeona ee..hebu tusubiri tuone..Namungo usiwaamini, wakichoka wanaweza achia ushangae.
Mshinde wapi?Kikubwa lazima tushinde
Kipindi cha pili ndo hua tunaanza kasheshe ni shwaa shwaa shwaaa kama Bruce LeeMshinde wapi?
Mshinde nini?
Sio kwa gemu ya leo...Kipindi cha pili ndo hua tunaanza kasheshe ni shwaa shwaa shwaaa kama Bruce Lee
Lazima refa atupe penalty ili tushinde.Kikubwa lazima tushinde
Vinamungo eti vime-park semi!Atakula goli nyingi sana leo 7 naziona
ngoja tuwape mudaWameshajuliwa habari yao kwisha kabisa
Kolo liliochanganyikiwaKumuona Chama mara mbili akipiga magoli ya visigino tayari nawewe na gimbi lako unafosi kupiga visigino.