FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Yanga wamezidiwa kidogo hadi Diarra anatoka mbele kusaidia timu
 
aaaah....back tick tack inapigwa na Namungo huku Yanga.
Wakiendelea kushindwa kufunga kutokana na kukabwa vyema sana
 
Nimeshasema Yanga wanakabika vizuri mnooo
 
Back
Top Bottom