Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Mashabiki wao walipata ajali.imefiwa na nan
kiongozi gani
yaan timu iwe na msiba mkubwa T.F.F Wasitambue hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wao walipata ajali.imefiwa na nan
kiongozi gani
yaan timu iwe na msiba mkubwa T.F.F Wasitambue hilo
Toa zoa zoa ingiza mayelesio ndondo hii
Nikiwa Kimara Bonyokwa kwa mke wa blaza kaka.Una enjoy soccer ukiwa kwa shemej yako yupi?
Walijifanya wazee wa tano tano yameishia wapi?Nimeshasema Yanga wanakabika vizuri mnooo
msiba ni wotu sote, unaweza kuta ni shabiki wa namumgo kumbe ni ndugu wa kiongozi wa yangaHujasikia bus lao lililobeba ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wa Namungo lilipata ajali na watu 4 wamefariki na 26 wamejeruhuwa!
Leo watazichoraWalijifanya wazee wa tano tano yameishia wapi?
Manara keshawaambia wana "Polimilai"kujiamini kupita kiasi ni kosa kwenye mpira.
anapiga vishut vya kinyodoAziz K
leo haoni goal