FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wamebanwaaaa
 
Refa maliza mpira watu tuchaji simu zetu umeme umekuja saa hizi
 
Haya matokeo yatawafanya wachambuzi hapo baadaye asubuhi wakose cha kuisifia timu yao hii
 
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi ya NBC.

Ikumbukwe katika michezo miwili iliyopita ya ligi Yanga wametoa vipigo vikali vya goli 5-0 kwa timu za Kmc na Jkt Tanzania, Je 5G itaendelea tena Leo?

Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 1.00 usiku na utarushwa na Azam Sports1 HD

Timu zote mbili tayari zipo uwanjani na muda wowote refarii atapuliza kipenga kuashiria kuanza kwa kabumbu

00" Mpira umeanza Yanga ndio wameanzisha mpira

View attachment 2755991

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
---
Mbwembwe zote Chalii 😆🤣😅 uto no uto tuu
 
Back
Top Bottom