Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo mkuu leo hayupo hata sub angekuwepo matokeo yasingekuwa hiviAmetoka nafasi yake akaingia Mudathir
subiri uta amini
Mjoli...wachambuzi wa kibongo ni pasua kichwa..wanakwenda na upepo.Haya matokeo yatawafanya wachambuzi hapo baadaye asubuhi wakose cha kuisifia timu yao hii
Labda waachie bahasha!! Wakiona dakika zinaelekea ukingoni watalazimika kuachia "IMETHIBITISHWA"Kaze anawatania kidogo ndugu zake..Lkn ataachia
Ha ha nilikuwa nawasikiliza hapa wasafi wanatia huruma sana yaani kipindi kizima ni kuulizana vipi huko, kuna chochoteMjoli...wachambuzi wa kibongo ni pasua kichwa..wanakwenda na upepo.
Mungu ibariki Namungo
Dk 87Dakika ya ngapi huko jamani maana si wengine hatuna hata namna ya kupata taarifa zaidi ya huku JF.
Wachambuzi wa wasafi..Ha ha nilikuwa nawasikiliza hapa wasafi wanatia huruma sana yaani kipindi kizima ni kuulizana vipi huko, kuna chochote
Labda mjifungeWananchi fanyeni jitihada tufunge japo goli moja.
Haya matokeo yatawafanya wachambuzi hapo baadaye asubuhi wakose cha kuisifia timu
87Dakika ya ngapi huko jamani maana si wengine hatuna hata namna ya kupata taarifa zaidi ya huku JF.