KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kitulize hicho wewe![emoji23][emoji23][emoji23]Kumuona Chama mara mbili akipiga magoli ya visigino tayari nawewe na gimbi lako unafosi kupiga visigino.
Una enjoy soccer ukiwa kwa shemej yako yupi?Maswali ya wana uto mitaani yamekua mengi utasikia"semeni kabisa Namungo nzuri au mbovu".
Huu moto anaopelekewa namungo huuni wewe?Nachokiona hapa Yanga leo wanacheza kifaza sana, sijui wamerelask kwa ushindi wa Almeleck
Hii sio timu ya ayubuLazima refa atupe penalty ili tushinde.
Alooo weeeHamna timu hapa
Shabiki wa simba huyo.
🤣🤣🤣Kila timu naiombea isifungwe
Umeona eehLomalisa hoi
Hatimaye umetoka mafichoni [emoji23]Hamna timu hapa
Dk 50' mpira ni bila bila.Dk ya ngap?