Yanga wamezoea kubebwa na ma refa .. ndo mana wanateseka kimataifaWakichezewa faulo wachezaji wa Simba ni fair challenge, ila hawa CCM wakiguswa tu anachomoa kadi
Siku ya kufa nyaniIle pasi ya Chama najaribu kujiuliza mabeki wa Yanga wawili wameshindwa kuzuia ule mpira?
Ukimaliza kujiulza angalia score boardIle pasi ya Chama najaribu kujiuliza mabeki wa Yanga wawili wameshindwa kuzuia ule mpira?