OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kyombo ana goliSakho anatoka
Kiombo anaingia
Japo kafunga, ila hakua na mchezo mzur
Wewe unajulikana kuwa ni Utopolo, Mayele atakuwekea ukuni ausokomeze huo mwiko kama unavyotaka.Huyu mayele lazima atuweke ukuni mwanawane
Yeye azigawe tu, kama wachezaji wanacheza faulo kwanini asitoe kadi?Huyu Refa kazidi ss. Sio kwa kadi hizi.....
Chama offside