FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

80' Faulo kwa Yanga , inaokolewa

81' Mayele anapiga counter attack...anakosa
 
Chama
Okrah
Okrah

Onyango
Zimbwe

Kona
 
Dkk ya ngapi hatutaki Sare sisi hawa Topoloz sio level yetu
 
Hiyo mechi siku hizi inabidi itoke draw ili kuwe na amani, hii yote ni sababu ya hizo team kushinda katika mazingira ya kubebwa.
 
Unarushwa
Zimbwe
Mkude

Aucho kasukumwa na Kiombo
Kiombo kadi ya njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…