FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

5g zimetuponza wanatukamia sana madogo.
Yaani iyo ndio sababu ya sisi kuonekana kama tuna struggle kupata matokeo. Performance iko vizuri, timu inacheza mpira mwingi tu sema wapinzani wanakuja kuzuia wote kwa dakika zote tena wakicheza jihad ili wasionekane wanyonge kama wenzao 5imba, JKT, KMC, Mtibwa n.k
 
Kwahiyo msingi wa kushinda kwenu ni timu zicheze pasipo kujituma uwanjani?
Maana naona mnalalamika timu kupewa motisha ili zijitume jambo ambalo halina ubaya wowote.
 
Kwahiyo msingi wa kushinda kwenu ni timu zicheze pasipo kujituma uwanjani?
Maana naona mnalalamika timu kupewa motisha ili zijitume jambo ambalo halina ubaya wowote.
Wapi nimesema timu kupewa motisha ni jambo baya? Hoja yangu ni kuwa 5G imezifaanya timu zingine zinazocheza na Yanga zinakuja na mentality ya kupaki bus ili zisifungwe goli nyingi.
Umeona hapo HT possession ni 81% kwa 19% iyo maana yake kuna timu imekaa nyuma ili izuie tu
 
Hivi refa hajaona hiyo rafu?..huu ni upuuzi aisee..kabla huyo maximo hajafunga?
 
Huyu Gamondi ana mpango gani na Pacome?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…