Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nani kafunga?Goal
OkelloNani kafunga?
Kawa mdebwedo.Chobwedo
Aibu utaona weweTRA wameuza mechi kwa Yanga
Siku watayovaa vitambaa vyeusi wakasimama dakika moja ya maombelezo kuwakumbuka Watanzania na mashabiki wao waliopoteza maisha October 29 kuna mambo yatarejea.Uzi una comments 12. Kweli maisha yanabadilika