FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽

20250201_170731.jpg

Dakika ya 15
Mzize anakosa goli la wazi

Dakika ya 17
Yng 0 -0 kgr

Dakika ya 20
Kagera sugar wanapata Free kick

Dakika ya 21
Yanga SC wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 29 bado ni 0 kwa 0

Dakika ya 31
Mzize kambaaa

Dakika ya 41
Yng 1-0 kgr

Dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 1-0 Kagera Sugar
20250201_170513.jpg
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 53
Kagera sugar wanafanya mashambulizi dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 54
Yanga SC wanapata kona ya pili

Dakika ya 57
Dube anakosa nafasi ya wazi hapa

Dakika ya 59
Mudathir goal chuma cha pili

Dakika ya 70
Dube anakosa nafasi ya wazi
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 77
Yanga SC wanapata penati
Anaenda kupiga pacome goal chuma cha 3

Dakika ya 85
Yanga SC wanapata kona
Musondaaaaa goal chuma ya 4

Dakika ya 89
Kagera sugar wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 90+6
Young Africans SC 4-0 Kagera Sugar
20250201_182805.jpg
 
Waze wa kuhonga team pinzani wanalejea uwanjani huku kikosi kikiwa chini ya mwalimu Rama cha msingi aambiwe ukweli kua game hua zinachezwa nje wa uwanja sio amaiona ligi yetu nyepesi
 
"aaah kwan dha tunamshukuru mwenyezimungu, wachedhaji tumejiandaa vya kutosha tangu tukiwa madhoedhini na tumeyapokea vidhuri maelekedho ya mwalimu wetu thide rama chuma cha mjerumani na ni matumaini yangu kuwa tunakwenda kupata ushindi mdhuri kabitha na pia nawaomba wapen dhi na mashabiki dhetu waendelee kututhapoti........."
 
Lolote baya liwapate na hizo dhadha dhenu🥵
 
Yanga wakishinda hii mechi moja kwa moja watakua wamefuzu kucheza fainali ya club bingwa na hapo vichaka vyote vitakua vimefyekwa, kwenye ranking yanga itakua namba moja huko Burundi. Siku ya fainali wachezaji watakua wakicheza huku wakinywa supu ya mbwa..
 
Back
Top Bottom