FT: Yanga SC 4-1 Tanzania Prison | NBC PL | Azam Complex, Chamazi | 28/05/2024

Timu zote za GSM leo, Baabra aliwaambia ligi itakosa mwelekeo. Matokeo ndiyo haya sasa. Mpira wa mipango mipango tu huwezi hata kutumia utaalam kujua hilo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kunywa maji mengi
 
Unaweza kufikiri soka linachezwa kumbe tofauti kabisa.

Watu wamejizatiti wapewe sifa na utukufu kwa kutumia pesa.Pesa haishindwi kitu na hasa pesa chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…