FT: Yanga SC 4-1 Tanzania Prison | NBC PL | Azam Complex, Chamazi | 28/05/2024

FT: Yanga SC 4-1 Tanzania Prison | NBC PL | Azam Complex, Chamazi | 28/05/2024

Cc Mwasibu
1716904425737.png
 
Mpaka sasa mashujaa imeshaifunga dodoma jiji 1-0 na hivo kuondokana na fedheha ya kucheza playoff; nina furaha kwa hilo.

Mashujaa walioifuta Simba kwenye CRDB Federation cup inabidi waendelee kuwapo kwenye ligi, lakini walikuwa wameanza kunusa kule chini.
 
Wale wana5imba wa Jf mje tufurahi kwa kuzimalizia mechi za ligi kuu kwa msimu wa 2023/2024 tukiwa wazima wa afya jamani.

Yaani tuliianza safari ya kushabikia Ligi pamoja lakini huku mwisho mwisho mmetuacha wenyewe acheni hizo. 😂😂
 
Wale wana5imba wa Jf hivi mko wapi siku hizi?

Yaani tuliianza safari ya kushabikia Ligi pamoja lakini huku mwisho mwisho mmetuacha wenyewe acheni hizo. 😂😂
Dada Jirani

Yanga ni timu mbovu inashinda Kwa bahati
 
Wale wana5imba mje tufurahi kwa kuimalizia mechi ya ligi kuu kwa msimu wa 2023/2024 jamani.

Yaani tuliianza safari ya kushabikia Ligi pamoja lakini huku mwisho mwisho mmetuacha wenyewe acheni hizo. 😂😂
😂😂
 
Back
Top Bottom