FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

Hujui sheria za mpira bwana mdogo(sic). Aliyetoa cross alishaua offside. msiwe mnaropoka
Aliyetoa cross kaua vipi offside? Au mipira ya cross huwa haina offside? Nipe somo mwalimu maana mimi bwana mdogo sijui kweli sheria
 
Aliyetoa cross kaua vipi offside? Au mipira ya cross huwa haina offside? Nipe somo mwalimu maana mimi bwana mdogo sijui kweli sheria
Alikuwa mbele ya mabeki akiwa anatoa cross hvyo kunakuwa hakuna offside ingekuwa tuisila hakuwavuka mabeki ingekuwa offside
 
Alikuwa mbele ya mabeki akiwa anatoa cross hvyo kunakuwa hakuna offside ingekuwa tuisila hakuwavuka mabeki ingekuwa offside
Wakati tuisilia anapewa pande. Tuisila alikuwa katika nafasi sahihi lakini waziri junior tayari alikuwa kaishaotea. Hivyo tuisila angefunga mwenyewe ilikuwa ni sahihi kwasababu alipokea mpira katika onside position wakati waziri alikuwa tayari yupo katika position ya offside. Niambie mwenyewe hapo kabla mpira haujaenda kwa Tuisila je Waziri alikuwa ameshazidi au hakuzidi?
Screenshot_2021-06-21-08-47-26-810_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom