Wakati tuisilia anapewa pande. Tuisila alikuwa katika nafasi sahihi lakini waziri junior tayari alikuwa kaishaotea. Hivyo tuisila angefunga mwenyewe ilikuwa ni sahihi kwasababu alipokea mpira katika onside position wakati waziri alikuwa tayari yupo katika position ya offside. Niambie mwenyewe hapo kabla mpira haujaenda kwa Tuisila je Waziri alikuwa ameshazidi au hakuzidi?