Sina shida na nyuzi zako na shida na hizi timu zenye drama za kijinga na zilizojiingiza kwenye siasa uchwaraWe jamaa una shida gani Leo na nyuzi zangu
Yanga BingwaKaribu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu.
Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani Dodoma, Dodoma Jiji kuzisaka Alama tatu muhimu ili kuendelea kutia mkazo wa kuwania kombe la ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya nne mfululizo. ni pointi tatu pekee ndizo zinahtajika leo
Kila lenye kheri timu ya wananchi💚💚💚💚