vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Fawanews.scKitu gani kimewapata Fawanews?
Nani anaweza kua mjanja zaidi kwenye Jukwaa hili la michezo atupe site mbadala ya kufuatilia hii mbungi ukiacha Azam Max?
Fawanews.scKitu gani kimewapata Fawanews?
Nani anaweza kua mjanja zaidi kwenye Jukwaa hili la michezo atupe site mbadala ya kufuatilia hii mbungi ukiacha Azam Max?
Kwa kipiYanga leo itasababisha tar 25 watu wasilete timu
Atafunga tena goli la offside na litakubaliwaClatous Chama leo atawaka sana 😄
Endelea kujitekenya na kucheka na hayo magoli ya kupeanaNawashauri upande wa pili jumatano msilete timu uwanjani
Walalamike kwamba Yanga inabebwa?Hii timu kila siku inapewa magoli ya offside ila hautasikia wanaharakati wa football wakilalamika
Line up?Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu.
Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani Dodoma, Dodoma Jiji kuzisaka Alama tatu muhimu ili kuendelea kutia mkazo wa kuwania kombe la ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya nne mfululizo. ni pointi tatu pekee ndizo zinahtajika leo
Kila lenye kheri timu ya wananchi💚💚💚💚
Utakuwa unaangalizia tv ya chogo huwa inaonyesha tofautini mimi pekee ninayeona kuporomoka kwa kiwango cha Mzize!