FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Yanga bingwa msimu huu kwa kila [emoji146] taji ambalo anashiriki isipokuwa mapinduzi tu anza na community shield, NBC , cafcc,asfc na today nabi ambaye kiuhalisia ni football profesa ataanzaa na akina nkane na ubingwa wa msimu uliopita tunajivua leo na kujivika wa msimu huu imeisha hiyo,.. .

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri yanga leo watangazwe mabingwa
 
Hivi Yanga si walitaka kutangaza ubingwa mwezi umepita sasa toka April 16, nini kimetokea hapo kati maana nilkuwa siyo mfuatiliaji sana wa mpira?
 
Hivi Yanga si walitaka kutangaza ubingwa mwezi umepita sasa toka April 16, nini kimetokea hapo kati maana nilkuwa siyo mfuatiliaji sana wa mpira?
Watu wa haki za binadamu waliingilia kati
 
Hivi Yanga si walitaka kutangaza ubingwa mwezi umepita sasa toka April 16, nini kimetokea hapo kati maana nilkuwa siyo mfuatiliaji sana wa mpira?
Sasa kama hufutilii mpira nenda kwenye mdako
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuzinyakua zile points zetu tatu ili kukamilisha mbio za ubingwa wa Msimu 2022/2023.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Shadeeya [emoji172][emoji169]
Da nakumbuka Ile misimu ya kina Saporng tulivosota kolowizard walitamba Sana Leo kimya wanasonya tu [emoji16]
 
Shadeeya [emoji172][emoji169]
Da nakumbuka Ile misimu ya kina Saporng tulivosota kolowizard walitamba Sana Leo kimya wanasonya tu [emoji16]
Acha kabisa Mkuu na wenzake kina Nchimbi.

Tulipo sasa ndio maana halisi ya kuimba kupokezana. 😅 wacha tuimbe wananchi ni wakati wetu sasa. 😅
 
Uwanja mweupe
Uto wamesusia timu yao
BAHLABANE BA NTWA[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…