Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuboa kivipi?Wananiboaa Hadi nataka kususaaa
Metacha hawezi kuwa hata kipa No 5 wa Simba
Hakuna kitu hichoooUtopolo wanahangaika kutemneza miamala hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😲😲😲😲😲Vipi kuhusu mademu wa yanga utajirusha nao pale pub au umeghairi ?
Wanajiona mabigwa tayari wanajiachiaaa tuuuWanakuboa kivipi?
Azizi Ki mnyama leo hajatokea au Morrison the game changer leo vipi?
Huyu si ndio aliwanyooshea kidole cha Nida msimu uliopita?Metacha hawezi kuwa hata kipa No 5 wa Simba
Daima mbele nyuma mwiko man, usivunjike moyo 😜😲😲😲😲😲
Kweli kabisa. Na game zilizobakia hata hazitabiriki kwa kweli.Wanafanya Mambo yanakuwa magumuu
Wanamtia hasara Ally Kamwe maana hii ni mara ya pili sasa inajirudia ana print t shirt kwa ajili ya suprise mwisho wa siku anarudi nazo nyumbani kimya kimyaWanajiona mabigwa tayari wanajiachiaaa tuuu
Dada mwenye mikimbio yakeKweli kabisa. Na game zilizobakia hata hazitabiriki kwa kweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanamtia hasara Ally Kamwe maana hii ni mara ya pili sasa inajirudia ana print t shirt kwa ajili ya suprise mwisho wa siku anarudi nazo nyumbani kimya kimya