Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mpaka sasa Takwimu zote zinaonyesha Chama ndio kahusikq zaidi.Mkuu embu kata kilevi ulichokunywa.
Embu tizama idadi ya magoli Yanga aliyoshinda halafu tizama nani kashiriki sana katika hayo magoli.
Au tukusaidie kuleta takwimu!?
Dube hana golf leoDube
Ndivyo ndoto zilivyo, pole sana Makolokolo Mwandamizi toka Mwabepande.Niko hapa JF, siteseki chochote.
Game bado mbichi hii, lolote linaweza kutokea. Hawa vijana wa Ethiopia wakitulia fresh bado wana nafasi nzuri ya kupindua meza.
Upo sahihi ..sema mda mwingineSimba kesho hata tununue marefa, kwa hakika hatuwezi kutoboa. Labda tukaze ili twende kwenye penati, huko labda. Yule muarabu anajua kutatandaza soka la uhakika.
Wee ndo unaweweseka na game ya kesho, ambayo haikuhusuu.Hii Yanga hii itafanya mioyo ya upande wa pili ianze kuweweseka hasa kwa game ya kesho.
Uzuri mwenge hauruki kijiji, October kuna wanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Msimbazi tutacheza nao.Chama kashawaokota wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo cha kata hapo akiba.
umefata nini hapa subiri jukwaa lako hapo kesho ulowe tope..πWee ndo unaweweseka na game ya kesho, ambayo haikuhusuu.
Hujiamini na team yakoo? Poleeee.
Kahusika kwenye mechi ngapi na magoli mangapi!?Mpaka sasa Takwimu zote zinaonyesha Chama ndio kahusikq zaidi.
Wewe takwimu zako zinasema ni nani?
Kombe la ma loosers .Wee ndo unaweweseka na game ya kesho, ambayo haikuhusuu.
Hujiamini na team yakoo? Poleeee.
Polee sanaa mkuuKombe la ma loosers .
Simba wakikosa kuchukua hata hili kombe la ma loosers basi watakuwa best loosers π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£