FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Mkuu embu kata kilevi ulichokunywa.
Embu tizama idadi ya magoli Yanga aliyoshinda halafu tizama nani kashiriki sana katika hayo magoli.
Au tukusaidie kuleta takwimu!?
Mpaka sasa Takwimu zote zinaonyesha Chama ndio kahusikq zaidi.
Wewe takwimu zako zinasema ni nani?
 
Niko hapa JF, siteseki chochote.
Game bado mbichi hii, lolote linaweza kutokea. Hawa vijana wa Ethiopia wakitulia fresh bado wana nafasi nzuri ya kupindua meza.
Ndivyo ndoto zilivyo, pole sana Makolokolo Mwandamizi toka Mwabepande.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kipa kakaa uzuri sana vinginevyo ubao ungeshachafuliwa na max.

Kama unaibeza yanga ilete timu yako uone balaa lake.
 
Wee ndo unaweweseka na game ya kesho, ambayo haikuhusuu.
Hujiamini na team yakoo? Poleeee.
Kombe la ma loosers .

Simba wakikosa kuchukua hata hili kombe la ma loosers basi watakuwa best loosers 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Updates 2135 Hours

Kipindi cha pili kimeanza, Yanga wameanzisha boli kuelekea CBE SA

Yanga 1-0 CBE SA (agg 2-0)
 
Back
Top Bottom