FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Vijana mna hamu sana na ushindi, hata sisi tunawaona kuwa mnaendaa kushida, ila sio kwa goli nyingi kiasi mnachoamini
Uko sahihi kwa maana wachezaji wakifika golini wanapata changamoto inawezekana goli linakuwa huko wanako elekeza mpira
 
Hii mechi itakuwa ngumu sana
Wa Ethiopia inaonekana wanafanya vizuri sana wakiwa ugenini
Ni kama Yanga na team ya taifa na wao ndio walivyo huwa Bora ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…