ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Fyeka fyeka day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mechi si ni mbili na nusu au ratiba imebadilika?Watu ni wengi sana hapa Zanzibar.
Hakika Yanga inapendwa, Hakika Yanga ina Mashabiki wengi!
Hakika Yanga ni Timu ya burudani.
CBE wanacheza champions League wale wengine wanacheza shirikishoNani mwingine aliyechelewa kujua kama mimi kuwa CBE kumbe wana campus yao kule Ethiopia?
Pengine watajifunza kuheshimu muda, muda ni mwalimu mzuriHakuna kichaka kitaachwa salama msimu huu.
Champions league imepoteza mvutoCBE wanacheza champions League wale wengine wanacheza shirikisho
Kwako sio kwa wote na sababu ni ile timu inayoitwa 51mba kushindwa kufuzu kwenye mashindano hayo ya wakubwa.Champions league imepoteza mvuto