Leo mnapata point ngapi?ππ Shabiki WA hii timu tutawapeleka Shule Kwa NGUVU πLeo tunafyeka kichaka cha makolo kuwa wao wako juu ki rank Caf.
Duwa la kuku halimpati mwewe.AΔΊ the best CBE mfieni chuma 2 tu mbwa huyu
Walio karibu na wewe wasiruhusu kabisa ukashika kamba ya katani itakua ndio mwisho wako..Champions league imepoteza mvuto
Wanapenda kudanganywa. Viongozi wao hawawaheshimu kabisa kwa aina ya uongo wanaowapa kila sikuLeo mnapata point ngapi?ππ Shabiki WA hii timu tutawapeleka Shule Kwa NGUVU π
Mpira wanaocheza wale jamaa huwez kuwafunga golf zaidi ya 3Mimi naona Dube 1, Aziz (2), Max 1, Mzize 1.
Balaa wanaweza kula 5+