Utopolo hawana uwezo wa kujaza uwanja. TusidanganyaneHuu Uwanja Haututoshi.
Sasa ni Saa Moja kasoro Dakika 20.
Mechi ni Saa Mbili
View attachment 3102253
Hiko kichaka cha kujaza uwanja tumewachia mbakie nacho mtambe, ila ya rank, ya makundi na tobo fainali klabu bingwa kinazikwaUtopolo hawana uwezo wa kujaza uwanja. Tusidanganyane
Si ajabu ni walozi wa Utopolo wanatimiza majukumu yaoView attachment 3102296
Kwa mbaali, kama kuna kitu kinachimbuliwa au kuwekwa sawa Uwanjani
Tuwe tu wakweli, hivi mkifunga goli mnaweza hata kushangilia?Simba wapo busy kusema CBE ashinde wakati mikeka yote wameweka kwa yanga