uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Kiungo mkude lazima wale yellow za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiungo mkude lazima wale yellow za kutosha
Amka utajikojolea weweHii game bado mbichi sana, wananchi wasipoangalia wanapigwa kipigo cha mtoto mkanye mama yako!
Utopolo wana nafasi kubwa ya kushinda...Hii game bado mbichi sana, wananchi wasipoangalia wanapigwa kipigo cha mtoto mkanye mama yako!
Hii ni klabu bingwa Afrika, hakuna mnyonge hapo, yoyote anaweza kufa popote.Utopolo wana nafasi kubwa ya kushinda...
🐸 🐸 🐸 🐸...
Sidhani, hawa CBE wanadefend zaidi so far, hata golini hawajafika zaidi ya ile faulu.Hii game bado mbichi sana, wananchi wasipoangalia wanapigwa kipigo cha mtoto mkanye mama yako!
Nunua kifurushi AzamMwenye link ya kuangali hii mechi wakuu
Sioni dalili ya Uto kushinda hii game 😆😆View attachment 3101654
View attachment 3102061
Match Day
CAF Champion League
Young Africans SC VS CBE SA
2nd Preliminary round
2nd Leg
Stadium: New Amani Stadium Zanzibar
Date: 21-09-204
Time 8:30pm EAT
Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024
#Daimambelenyumamwiko#
Kikosi cha Yanga Kinachoanza Leo.
View attachment 3102278
Updates...
Mpira umeanza kwa kasi kidogo
Yanga wameanza kwa kulishambulia lango la CBE
Wamekosa goli la wazi hapa.
Chama anapaisha mpira
DK 6'
CBE wanapata free kick nje kidogo ya 18 ya Yanga.
Inapigwa haileti madhara yoyote kwa Yanga
Ni kwasababu ni first year
Yanga hucheza kipindi cha pili. Sasa hivi wanasoma mchezo.Sioni dalili ya Uto kushinda hii game 😆😆
Zanz ni Tanzania, tatizo lipo wapi?Yanga kama tupo ugenini ohhh
Aliyepeleka mechi zenji alaaniwe
Uto labda anunue mechi, hii game hatoboi.Sioni dalili ya Uto kushinda hii game 😆😆