FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Naona Kikosi cha wanaume hapoooi

πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺ!

Cc Smart911
 
Idara ya habari ipewe maua Yao hii mechi haikuwa na hadhi ya kujaza hivi tena kwa kiingilio kikubwa namna kilivyotangazwa
Wamefanya kazi kubwa sana
 
Dick anakula yellow Kadi ya mapema kabisa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…